WAZIRI DKT GWAJIMA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA UVIKO-19 KWA MKOA WA DAR ES SALAAM

Na WAMJW – DSM Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua Mpango Mkakati wa kudhibiti maambuzi ya Ugonjwa wa UVIKO-19 kwa Mkoa wa Dar es Salaam wenye lengo la kuthibiti kuenea kwa wimbi la nne la maambukizi hayo.  Dkt Gwajima amezindua Mpango huo leo Jiji Dar Es